
Dk. Emmanuel Makaidi enzi za uhai wake.

Jeneza lenye mwili wa marehemu Makaidi likiwa mbele wakati ibada maalum ya kumuombea ikiendelea.(P.T)
Mke wa marehemu, Bi Modester Makaidi akionekana mwenye majonzi mazito.

Baadhi ya
viongozi mbalimbali wa vyama na serikali wakiwa wamekusanyika Viwanja
vya Karimjee kuuaga mwili wa mpendwa wao, Dk Makaidi.
Jeneza lenye mwili wa Dk Makaidi likiwa limefunikwa.

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema akiwakilisha Ukawa, Edward Lowassa akipita kuaga mwili wa marehemu Makaidi.

Jeneza likiwa juu ya kaburi, viongozi wa Ukawa wakiwa wameketi wakati wa maombi maalumu kabla ya mazishi kuanza.
Mtoa maombi akiendelea na Ibada fupi kabla ya mazishi.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Makaidi likiwa limewekwa juu ya kaburi.

Jeneza lenye mwili wa marehemu Dk Makaidi likiingizwa kaburini.
MGOMBEA
urais kwa tiketi ya Chadema akiwakilisha Ukawa, Edward Lowassa
amewaongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti
wa Chama cha NLD ambaye pia ni Mwenyekiti mwenza wa Ukawa, Dk. Emmanuel
Makaidi katika Viwanja vya Karimjee na kuzikwa katika makaburi ya
Sinza jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment