Friday, 25 December 2015

Rais John Magufuli ashiriki Misa ya Christmas Kanisa la St. Peter


Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kushiriki Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.

RIDHIWANI KIKWETE AFUNGUKA UTOROSHWAJI WA MAKONTENA BANDARINI


Mbunge wa Chalinze, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete,  ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ,kwa niaba ya familia yake ametoa tamko zito kupinga tuhuma mbalimbali zinaozoelekezwa kwake na familia yake.